Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Haya tena suluhu ya kuishi mabondeni.Nyumba nyumba 6 vingunguti kidarajani hapo kwa bei ya kutupa kwa wenyewe matatizo ya kusumbuliwa na mafuriko.Bei ya kuongeza kabisa.Ipo kweny eneo hilo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji tanki la maji lililotumika la lita 2000. Aina iwe Simtank na liwe zima na lisilovuja wala kutoboka na bei yangu ni 170,000. Kama unalo basi naomba unitumie namba yako ili nikutafute. Thanks
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa hili alilofanya@officialalikiba leo la kuzindua kinywaji chake cha #MOFAYA DRINK kinampaisha vipi katika maendeleo yake binafsi na kimusic? Sasa hapa najua Diamond atanuna kwa hichi kikubwa...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Nauza invetor yangu mascot shine wave bei 900,000/-tsh .input 12 dc output 230 ac 1000w
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa juu,mm nahitaji Samsung note 5 gold,napatikana kigamboni kwa namba 0688811110
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Hii nyumba hinauzwa, hipo Bweni ina square metre 1200. kwa maelezo zaidi piga simu 0714 768080 / 0786 55 8533.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tunakodisha na Kuuza vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Nina pikipiki mbili mpya, SANLG na zishalipiwa vibali vyote. Swali langu ni hili, je kuna makampuni ya courier services ambayo naweza kuwakodisha wakawa wananilipa kwa mwezi? Au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi 1. iphone 7 256GB Jet black 1.4m obo 2. Cafe-line 1l coffee maker 220k ono Serious buyers only 0718653453
0 Reactions
0 Replies
461 Views
BE FORWARD Japanese car Expoter ni Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari madogo hapa nchini, wasiliana nao kwa namba zilizoambatanishwa hapa kwenye picha uweze kujipatia gari nzuri unayoipenda
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamvi, nimepata tenda ya uzoaji taka majumbani, natafuta gari ya kukodi msaada wanajamvi na kama kuna yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili nitashukuru nikipata changamoto. Nawakilisha.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kama kuna mkaz wa Mwanza na maeneo ya Jirani unahitaji kuangalia mpira bila malipo ya Mwezi contact me 0659953382 sms or Whatsap Nnauwezo mzuri wa kuweka kwa dish kuanzia 6ft ila vizuri zaidi 8ft
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Kama ujumbe unavyojieleza hapo juu nataka kufanya nao biashara. Kwa wale wanaoifahamu biashara hiyo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wenu ninabiashara ya maharage je nfanyeje ili kupata wateja katka sehemu za mashule hapa kahama mjini naomba msaada wenu wadau asanteni sana.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wandugu Natafuta mtu (mwenye bidhaa za nafaka kama Maharage,mahindi,choroko n.k) atakayekuwa ananisafirishia kwa bus kwa bei ya jumla. Mi napatikana DSM kimara. Kama unazo njoo pm tuyajenge...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nauza iPhone X 64GB Nyeusi 2,300,000/- TZS 0717007272 WhatsApp 0622007272 Call
1 Reactions
4 Replies
2K Views
,
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Ndugu wana jamvi, nahitaji chumba cha kawaida , self maeneo haya, Mikocheni, kawe, namanga, kinondoni, chama. Budget ni 100k. Asanteni, nawatakia derby njema
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wadau.. Mm ni mkazi wa mwanza nilikua nauliza pakupata nafaka kama ulezi, soya, mahindi ya bisi na karanga kwa jumla.. (Hata mbegu za maboga pia!) Anayejua plz anijuze na bei kabisa.. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom