Nyumba inauzwa vingunguti kidarajani.

Nyumba inauzwa vingunguti kidarajani.

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
947
Reaction score
617
Haya tena suluhu ya kuishi mabondeni.Nyumba nyumba 6 vingunguti kidarajani hapo kwa bei ya kutupa kwa wenyewe matatizo ya kusumbuliwa na mafuriko.Bei ya kuongeza kabisa.Ipo kweny eneo hilo la kidarajani vingunguti mkabala kabisa na Barabara.Inafaa Sana kwa familia. Karibu ukague na nakuona dalali.Bei 65m. Mawasiliano 0763 23 30 30.
 
Aisee ni nzuri sana hata picha inaonyesha!
 
Hiyo sio nyumba ya familia,sema nyumba ya wapangaji au ghetto!
Halafu inaonekana nyumba ni mpya kabisa,uza milioni 90 ingependeza!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom