Kiwanja kinauzwa,Itirima-Simiyu

Kiwanja kinauzwa,Itirima-Simiyu

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Wadau,kwa yeyote anayetaka kujenga Simiyu,nina kiwanja kule,nimeamua nikiuze,kina ukubwa wa 37M kwa 17M kipo Busega,kijiji cha mwamagigisi,ukiweza,nipe laki 4 tu,mawasiliano,njoo PM
Jamanii, mwenye kuitaji anistue, tutaelewana tu, usiogope bei, kipo maeneo mazuri,umeme upo kwenye hicho kijiji, na kuna chuo cha afya cha private.
===
mods,msaada wa title,ni Wilaya ya Busega
 
Wadau, mjulishe hata rafiki yako, nina shida na pesa wadau
 
Niuzie mimi, nipo mwamagigisi, upo sehemu gani nije nikione,
 
Mjulishe ndugu,jamaa na rafiki,ukinifanikishia utapata 10%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom