Nauza notebook asus ya mtumba ni android ram 1GB storage ni 54GB kwa shs.60,000....touch haifanyi kazi sababu ili anguka touch ika crack unatumia keyboard tuu kama upo serious nichek 0716385824...
Habari wadau,
1. Je wapi naweza pata machine ya kusagia viungo vya chakula? Specification zake na bei yake, nahitaji isiyozidi laki3.
2. Kiwanda chenye kutoa vifungashio vya viungo na pilipili...
Tunauza nguo za kiume Mashati, Suruali na Kaptura za kadeti bei kwanzia 25,000/= hadi 40,000/=
Dar unaletewa hadi ulipo utachangia gharama ya usafiri kuringana na mahali ulipo.
Mikoani unatumiwa...
Nauza vitu vifuatavyo;
1.Desktop na CPU (RAM 2, HDD 220) yake + printer sh.200,000/-
2. Office table (hardwood) made in brazil, Sh.600,000/-
Ukichukua vyote bei napungua mpaka sh.650,000/-...
Pump hii nimeinunua dukani nimeitumia kidogo kwa sasa nataka niiuze.bei ni sh 300,000/ maongezi yapo kidogo.Inarusha maji kwenye bomba la inch 3.
Mashine iko Dar,maeneo ya Sinza.
Karibu
Maafisa wa Zantel Rehema Tarimu (kushoto) na Hussein Ahmed Abdallah (kulia) wakimsajili mteja mpya mara baada ya kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Kongowe jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma...
Awe na uzoefu wa kutengeneza ice cream au lamba lamba za vijiti na juice za matunda.
Awe yupo Dar es Salaam.
Malipo tutazungumza.
Kama unamtu pia unamjua mpe huu mchongo.
Nipigie tuongee
0769630209
Habari zenu Wakuu?
Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika.
Shukrani sana
4 pieces.
-Released in july 2018
-brand new,boxed
-Fingerprint
-Face unlock (inafungua simu via sura yako)
-
Display: 5.99 inches
Flash nyuma na mbele
Camera:back 13MP + 2MP back
Front 5mp...
Natafuta charger (kifaa cha kuchajisha) used au mpya,
Mwenywe nayo comment au PM tufanye business.
Km mtu unajua sehemu znapopatikana also comment.
.
Thank you in advance.
Mfano wa kifaa...
Naamin kuna watu mashujaa wakujua simu hasa samsung ata kwa kuziangalia kwa picha. Ivi hi simu ni og au vip wakuu mana nataka kuinunua but nko mbali nimetumiwa pic .tafadhali msaada wenu wataalam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.