Unauzaje?Ni hivi vikubwa ama vya mchina ama?Viko kiasi gani?Naomba msaada, Natafuta soko la vitunguu saumu, naomba ushauli wakuu, ntashukuru sana.
Madalali tunaruhusiwa kujichanganya hapo?Naomba msaada, Natafuta soko la vitunguu saumu, naomba ushauli wakuu, ntashukuru sana.