Nahitaji Printer

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,638
Jamani naomba mniekekeze printer itakayonifaa kwa shughuli za stationery pamoja na bei zake

Asanteni sana
 
tafuta ya inkjet(hp) hua sio gharama ina fanya copy,scan&print japo sio eficient sana bei ni kama 150,000 pia tafuta printer za laserjet black tupu ni kama 250k, coloured kama 400k zinatofautiana uwezo zote ni hp mm natumia hyo kampuni coz printer zake hazina gharama kubwa na running cost ndogo(mafundi + spare ziko nyingi tu)
 
Mm nina printer hp officejet pro 8710 inatumia inkjet naweza kupata fundi wa kuiwekea ink system ya njee au duka la hp wenyewe hapa dar kama unajua lilipo tafadhari
 
Wewee tafuta epson mwanawane... Print copy scan... Coloured inatoa fresh... Wino wake cheap... Inaprint vitu ving ufund wako tu.. Vikombe inaprint..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom