Habari zenu WAKUU?
Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika.
Shukrani sana
Wakuu, natumaini mnajiandaa vyema na weekend.
Mwisho wa mwezi 10 nahitaji kupata Hiace dungu, manual, diesel, ikiwezekana 4wd na pia walau iwe na max 100,000km na cc isiyopungua 2500.
Pia isiwe...
Habari wadau!
kwa mahitaji ya ubuyu wa Zanzibar,mwekundu na mweupe tunapokea oda na hivo kujipatia ubuyu fresh direct kutoka jikoni, Zanzibar .
Mzigo huingia Dar kutoka Zanzibar kila ijumaa na...
Wapi ntapata Vifaa vya maabara kwa bei nafuu kwa Dar?
Wakuu ni wapi naweza kupata chemicals za maabara ya Secondary physics na Chemistry kwa bei nzuri hasa maduka ya wahindi hapa Dar?
Shule ipo...
Kwa huduma za printing, designing, company profiles, memorandum, wedding n invitation cards, flyers, banners, stickers n.k
Unaletewa order yako mahali ulipo ndani ya Dar; Wasiliana nasi,
0654 796047
Nina vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Biashara ya Chips.
i) Kabati yenye sq m 1 ngazi 3
ii) Meza mbili, moja yenye 1.5m na nyingine yenye 2m.
iii) Jiko la gas la karai moja
iv) Mtungi wa gas kg 15...
Wadau ,
Naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu na vitu hivi niko katika kufanya utafiti kujua kama kuleta vitenge kama woodin na Kente kutoka Ghana kuja Dar inaweza kulipa.
Maswali ya Msingi...
Nimeuziwa na kufungiwa king'amuzi cha Canal + hivi karibuni na nimeunganishwa mwezi mmoja bure.
Swali langu ni je baada ya kipindi hicho kumalizika wapi naweza Kwenda lipia mkoani Dar es Salaam...
Habari zenu ndugu zangu..
ninaombeni msaada wa kufahamishwa wapi naweza kupata chemical zifuatazo?
xylene na 2k- thinner
Ninahitaji kwa matumizi binafsi ya ujasiriamali.
Naomba kufahamishwa juu ya upatikan wa zao hili na linapatikana sana mikoa gan kwa atakaye pata vanila bean nahitaj tuwasiliane kwa whatassp yangu 0685000606
Mm ni mkulima wa miwa na huwa nalima ile miwa myekundu: ..changamoto ni kwamba huwa naiuza miwayangu shambani tena kwa wale wauzaji wa rejareja nahitaji msaada wa solo Wakuu.. Msaada..
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa urefu mita 40 upana mita 25. Kipo Mbezi mpiji magohe kituo cha kwa Stephen. Bei yake ni 12m hakuna dalali mimi ndiye mmiliki halali. Ukija nitakupa ushahidi wote wa...
Intel Schools ni shule iliyoko katika Kata ya Terat (Kwa Mrombo) jiji la Arusha ambayo iko km 10 kutoka katikati ya jiji hilo.
Kuna shule ya Awali, msingi, na sekondari, shule ni ya...
Habari mimi ni mkazi wa Dar es salaam,Temeke,natafuta mbwa wadogo (puppy)wa kike na kiume,wa bei ya kawaida tuu,si lazima mbwa awe hawa brand name,sijui G.sherphad..mbwa mbwa tu..atakaeniamsha...
Wakuu heshima mbele,
Niko kwenye juhudi za kupanda miti huku kwetu maeneo ya kanda ya ziwa. Nina uhitaji wa miche ya miti (ashoka, palms, pines nk). Uhitaji wangu ni wa kiwango cha kati (bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.