Wakuu pole na shughuli.
Nina simu yangu ya Tecno W3, ila kila anayenipigia wanamuambia inatumika, kila saa nikipigiwa wanasema simu inatumika lakini mimi kupiga napiga vizuri.
Je tatizo ni nini...
Nimekwama kibiashara nahitaji kuongeza mtaji ndio maana naviuza vyote ni mali zangu halali.
FLAT TV INCH 30 AINA YA NOBEL= 300000
HOME THEATER WATT 500 AINA YA SONY= 300000
FENI=40000
DEKI YA...
Micro2 cycle ambayo ni ya Asili na imetengenezwa hahususi katika kuchokonoa Mafuta yaliyoganda kwenye mishipa ya damu na kufanya damu ipite bila matatizo yeyote...
Habari wadau!
kwa mahitaji ya ubuyu wa Zanzibar,mwekundu na mweupe tunapokea oda na hivo kujipatia ubuyu fresh direct kutoka jikoni, Zanzibar .
Mzigo huingia Dar kutoka Zanzibar kila ijumaa na...
Una swali lolote linalohusu sheria ya ardhi, au jambo lolote unalotaka kuhusiana na mambo ya ardhi. NITAKUWA NAPATIKANA KWA EMAIL kwanzamen@yahoo.com. tafadhali uliza swali ambalo ni kweli...
Kama mada isemavyo, nyumba ipo Mwenge mitaa ya TRA jijini Dar es salaam, nyumba ina vyumba vitatu na mabanda ya uwani, eneo lina sqm 500! Document zote zipo na hati! Bei ni 260M maongezi yapo
Pia...
Habari wakuu,
Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa za kisasa na zenye ubora.
Bei zangu ni nafuu kabisa, kama ifuatavyo;
-Seti ya watu 5 ni sh...
Habari.yako..
Nahitaji uniuzie vitu vifuatavyo
Kabati la vyoo
Jiko la mishkaki
Jiko la chipsi
Vyombo vingine vinavyotumika kwa biashara ya chipsi
Pia natafuta Eneo zuri la kufanyia
biashara...
Invoice plane ni mfumo wa kipekee wa kuandaa quotes,invoice,kuhifadhi kumbu kumbu za biashara pamoja kufuatilia malipo.Mfumo huu unakuwezehsa kufanya yafuatayo:
Kuandaa quotations
Kuandaa invoice...
ANAHITAJIKA MTU MWENYE DEGREE YA BUSINESS ADMINISTRATION KWA AJILI YA KUFUNDISHA CERTIFICATE NA BAADAYE DIPLOMA HUKO NYANGUGE WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA. CHUO KINATARAJIA KUANZA JANUARY 2019...
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum.
KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye...
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya haijawahi ishi mtu, ipo kimara mwisho umbali wa 1.8 km kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.