Pata BELT Bomba Kabisa
kwa Matokeo Mazuri na ya Haraka?
Belt hizi Hupunguza Vitambi na Manyama Uzembe na kukufanya uwe na Shape Nzuriiiiiiiii?
Unaweza ukatumia kwa Mazoezi pia?? na kwa wale...
Samsung Note 8 yangu nliangusha kwa bahati mbaya,ikacrack kwenye screen ilipowaka ikakataa kusoma line, nlivyopeleka kwa fund akanambia BASEBAND ndio imezingua akajaribu kuiFix ikashindikana...
1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)
2/tunasafisha pump na compressor
3/tunapima maji yanapatikana...
Natafuta perfume/body spray inaitwa black caviar,muonekano wake unakua kama kwenye picha hii hapa chini
Ambaye atanisaidia kupata naahidi kumpa elfu thelathini(30,000/=) kama asante.
Naomba ni PM...
*MOISTURIZING HANDCREAM WITH AVOCADO OIL*
code 34065
Ipo nyuma ya kitabu.
[emoji830]Imetengenezwa kwa mafuta yatokanayo na parachichi 🥑special kwa kulainisha viganja na kuimarisha kucha...
Kuku wa Asili ni wale ambao wamekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na damu yao haijachanganyika na ya kuku wa kigeni. Kuku hawa wana rangi na maumbo mbali mbali. Idadi ya kuku wa Asili hapa...
Wana ndg naomba msaada wenu,tv yangu inaonyesha mchele mchele,kuna madogo wamechezea na mm sio mtaalamu wa mambo ya tv na rimoti zake,
Nifanyeje ili niset na kurejesha ktk hali yake
Msaada tutani!
Natafuta rangi za nyumba aina ya Dulux Tanzania, hapa jijini Dar.
Nikipita kwenye mitandao naona kuna taarifa zao za zamani, ikihusisha mawasiliano.
1. Kiwe Dodoma mjini
2. Kiwe kimepimwa
3. Kiwe na hati
4. Bei isizidi 4 millions
5. Sihitaji dalali, ingawa atakae wezesha nitamlipa 5% ya bei nitakayo nunulia.
Kwa mawasiliano zaidi, PM...
Dealer wa electronics mbali mbali kama TV, hometheatre, n.k bidhaa ni mpya zinakua na warranty ya mwaka mmoja
Kwa maelezo zaidi piga namba 0754891344/0713086602
NB: Tunafanya delivery mpaka...
Habari wana jf
Nauza glass protector kwa bei ya jumla..
Elfu moja moja kuanzia kumi .
Protector zilizopo ni za iPhone, Samsung, LG, huawei na techno
Kama unahitaji nitext pm au njoo directly...
Jipatie hivi vitu Kwa bei zetu za Jpm Dsm mbezi beach
Friji 390000 subwoofer 85000 flat tv nchi 32 na Dstv 420000 tu ukinunua ni kujiunganishia tu DSTV OFA
Sofa 300000 weka nyumba yako vizuri...
Habari,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji Tub yenye uwezo wa kufit katika hizo dimension na nitashukuru ukiniwekea na bei.
Napatikana Tegeta.
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.