Samaki wabichi wanahitajika kwa kusafirisha nje

Samaki wabichi wanahitajika kwa kusafirisha nje

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Natafuta samaki wabichi (ambao watakuwa wamegandishwa kwa export) wa aina zote, lakini hasa tilapia, kutoka Tanzania. Kiasi kikubwa cha samaki kinahitajika kwa muda mrefu na wa kudumu. Wale ambao wapo makini katka kufanya biashara hii naomba tafadhali wanitumie PM.
 
Hujambo? ningependa kufanya hiyo biashara ebu nipatie maelezo ya kutosha kama vile kusafirisha kwenda wapi, bei kwa kilo kwa kila aina ya samaki unayehitaji na malipo yatakuwaje
 
Mkuu ebu sema hiyo biashara inafanyikaje?
na wewe wapatikanaje? will be there any sealed contract or aggreement
 
Hujambo? ningependa kufanya hiyo biashara ebu nipatie maelezo ya kutosha kama vile kusafirisha kwenda wapi, bei kwa kilo kwa kila aina ya samaki unayehitaji na malipo yatakuwaje
Nimekutumia PM
 
tz yenyewe tunagiza tokea china tani kadhaa means bado demand ipo
 
Back
Top Bottom