Natafuta shamba la kukodi mto ruvu

Natafuta shamba la kukodi mto ruvu

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
328
Reaction score
351
Habari wadau
Mwenye kufahamu mashamba ya kukodi yaliyopo pembezoni na mto ruvu naomba Masada.
Hata kma unanamba ya dalali maeneo hayo itakuwa umenisaidia.
 
Back
Top Bottom