Viwanja vilivyopimwa mwangati (kitunda) manispaa ya ilala

Viwanja vilivyopimwa mwangati (kitunda) manispaa ya ilala

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
salaam, wana jukwaa!
viwanja vilivyopimwa na serikali vinapatikana ndani ya mwanagati, kitunda (wilaya ya ilala).
viwanja vipo viwili na vyote vina hati miliki (title deed) ya eneo husika.
located in block 2

kiwanja cha kwanza
square meters 596 (meter 30*19)
kipo block 2
price: 25m

kiwanja cha pili
square meters 848 (30m*25)
kipo block 2
price 30m

note: viwanja vyote vipo sehemu moja na n mmiliki ni mmoja hivyo kama unauwezo una uwezo unaweza kuchukua vyote kwa pamoja.

pia kuna viwanja ambavyo ni squatters
vipo kitunda (kibeberu)

kiwanja cha kwanza
square meter 625 (25m*25)
price: 7m

square metee 425
price: 4m

ili kufika kwenye eneo husika unaweza kupitia njia ya airport, then unaingilia banana mpaka kitunda (njia yote ni lami) au pia unaweza kupitia njia ya buza ukatokea mwanagati.
 
sqm 1 huko mwanagati ni sh ngapi???
hakuna fixed price per sqm
mmiliki anauza kutokana na plot size na market price za waliotangulia kuuza pia bila kusahau changamoto alizonazo yeye za kiuchumi.
 
Ungeweka picha na vipi miuondombinu? Maji,umeme,barabara(zinapitika all seasons?) etc
 
salaam, wana jukwaa!
viwanja vilivyopimwa na serikali vinapatikana ndani ya mwanagati, kitunda (wilaya ya ilala).
viwanja vipo viwili na vyote vina hati miliki (title deed) ya eneo husika.
located in block 2

kiwanja cha kwanza
square meters 596 (meter 30*19)
kipo block 2
price: 25m

kiwanja cha pili
square meters 848 (30m*25)
kipo block 2
price 30m

note: viwanja vyote vipo sehemu moja na n mmiliki ni mmoja hivyo kama unauwezo una uwezo unaweza kuchukua vyote kwa pamoja.

pia kuna viwanja ambavyo ni squatters
vipo kitunda (kibeberu)

kiwanja cha kwanza
square meter 625 (25m*25)
price: 7m

square metee 425
price: 4m

ili kufika kwenye eneo husika unaweza kupitia njia ya airport, then unaingilia banana mpaka kitunda (njia yote ni lami) au pia unaweza kupitia njia ya buza ukatokea mwanagati.

contact : 0756 832833
Mimi nataka cha milioni moja tu
 
Mkuu jaribu kuweka na picha tuweze kutathmini
.
IMG_20180819_143822.jpg
IMG_20180820_131419.jpg
 
Back
Top Bottom