daudycharles
Member
- Feb 19, 2014
- 50
- 16
Habari wakuu,tunauza maziwa fresh kabisa,bei Tsh 1800 kwa lita moja.nipo maeneo ya Dar es salaam-Changanyikeni near ubungo.karibuni sana
Hapana ni ya maharage ya soyaHaya ndio yale ya viazi mbatata?