Tunchapa vitabu

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Habari wanajamii forum?
Kwa wale wenye ndoto za kuchapa vitabu vyao, sasa wakati umefika. Jipatie huduma ya kuchapiwa vitabu vyako kuanzia 50 na kuendelea kwa bei ya nzuri.
Kitabu chenye kurasa 100 mpaka 150 kwa nakala 50, kitachapwa kwa shilingi 200,000 ndani ya siku saba tu. Kwa copy 100, gharama itakuwa 370,000 ndani ya siku hizo saba.
Kitabu chenye kurasa 160 mpaka 300 kwa nakala 50 kitachapwa kwa shilingi 250,000 ndani ya siku saba. Kwa nakala 100, kitabu kitachapwa kwa shilingi 470,000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0763044459.
Karibuni wote.
 
Your cost is reasonable! I like to write books, specifically religious & I have an ambition to publish one day; I have some in the form of soft copies. I will check on you when the APPOINTED GOD'S TIME comes.
 
Bei yenu ni kubwa sana! Mwandishi anatumia muda wake kufikiri mpaka kuandika halaf mgawane faida nusunusu mnaona ni sawa? Mimi naandika vitabu ila sichapishiwagi kwa bei hiyo! Kwa sababu kitabu utakachouza elf tano nyie mnakichapia laki mbili na nusu kwa nakala mia! Me niuze laki tano then hapo faida tumegawana nusu! nikiingiza gharama ya usambazaji si nitabaki na elf hamsini pekee kama faida? Tafakarini acheni tamaa
 
unadhani kwa vitabu 50 unataka kuchapiwa kwa kiasi gani?
 
Habari wanajamii forum?
Kwa wale wenye ndoto za kuchapa vitabu vyao, sasa wakati umefika. Jipatie huduma ya kuchapiwa vitabu vyako kuanzia 50 na kuendelea kwa bei ya nzuri.
Kitabu chenye kurasa 100 mpaka 150 kwa nakala 50, kitachapwa kwa shilingi 200,000 ndani ya siku saba tu. Kwa copy 100, gharama itakuwa 370,000 ndani ya siku hizo saba.
Kitabu chenye kurasa 160 mpaka 300 kwa nakala 50 kitachapwa kwa shilingi 250,000 ndani ya siku saba. Kwa nakala 100, kitabu kitachapwa kwa shilingi 470,000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0763044459.
Karibuni wote.
Mekupenda bure
 
Bei yenu ni kubwa sana! Mwandishi anatumia muda wake kufikiri mpaka kuandika halaf mgawane faida nusunusu mnaona ni sawa? Mimi naandika vitabu ila sichapishiwagi kwa bei hiyo! Kwa sababu kitabu utakachouza elf tano nyie mnakichapia laki mbili na nusu kwa nakala mia! Me niuze laki tano then hapo faida tumegawana nusu! nikiingiza gharama ya usambazaji si nitabaki na elf hamsini pekee kama faida? Tafakarini acheni tamaa
Sasa c uchape mwenyewe.
 
Kila kitu inategemea na ubora wa uchapaji na cover, ubora ndio unaweza kuwa bei juu au standard, na kama ukitaka bei ya chini unaweza ukachapiwa hata kwa laki moja ila usiangalie ubora. Biashara sasa hivi soko huria wao ndio wamepanga hivyo kama bei juu angalia wengine, kama unaona bei na ubora unaendana changamkia fursa
 
Back
Top Bottom