Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

DISCOUNT KAMA LOOTE YANI Domain name za .com zipo kwa Tsh 15000/- tu mwaka mzimaa [emoji857][emoji857] Njoo na email yako ili upate credentials zotee za domain [emoji12] Ni Limited offer hii...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
HI all,for those who prefer high specs machine probably for video editing or graphics,please check out this machine for sell, CPU machine: Imported from US, Lenovo ThinkStation s30,32gb...
0 Reactions
5 Replies
801 Views
<br />Kama mnavyoiyona hp wadau..bado ni mpya kabisa, imetumika miez 8, haina tatizo lolote ni nzuri kwa biashara bei ni <br />Tsh 580,000/= kama unahitaji njoo PM tuzungumze...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ni freezer limetumika miezi 4 kuhifadhia vyakula. Bado liko safi kabisa. Brand ni Cool Life Ujazo ni lita 363 Bei 650000 Liko sinza dar es salaam
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Suzuki Samurai ya 1990 inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri na inatembea. Inaendeshwa na mama. Kama unaitaji wasiliana nami (nipm). Bei ni negotiable.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba kujua pikipiki aina ya boxer inauzwa shilingi ngapi na ofisi za wauzaji wakuu (agents) ziko wapi kwa Dar es salaam? Msaada please. Nahitaji kununua hii pikipiki.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini waungwana. Msaada wa mawazo tafadhali. Kama kuna mtu anayo, au anamfahamu mtu mwenye metal detector yenye uwezo wa ku-detect down to 50m deep anicheck tuongee nae. Pia, kama kuna...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Location: Udsm Ram 1 Gb Storage 16 Gb Mp 8 Price 290,000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
840 Views
#WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza Ufugaji, kilimo na biashara. Utengenezaji wa sabuni ya mche...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za saa hizi wakuu, Kuna freezer liko sokoni ni kubwa na limetumika miezi mitatu tu,bei ni sh. 1,400,000/=.liko maeneo ya Temeke DSM
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Zanussi fridge original from uk ina sehemu ya friji na friza imetumika kidogo iilinunuliwa southafrica imarazaidi(kulikobrandzinazoingizwa kwa wingi nchini) .Inatumia umeme kidogo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante
0 Reactions
8 Replies
7K Views
TOYOTA LANDCRUISER V8 YEAR 2014 Engine: V8, PETROL Transmission: Automatic Km 33,091 Price: TSHS Mill 125 negotiable Gari ni mpya ya Juzi DPK NOW already registered with number DPK Chart with...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta MTU anaetaka eneo kwa ajili ya KITUO CHA MAFUTA nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Habar wanajamii Natafuta nyumba ya kupanga hapa mjin Arusha kwa bei ya kuanzia laki na nusu hadi laki mbili. Mahitaji ni chumba self, sebule, jiko kwa ndan au hata double self itakuwa poa pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu natafuta nyumba ya kupanga sifa za nyumba ninayotaka ni kama ifuatavyo; Nataka nyumba iwe karibu ila isiwe karibu sana na chuo cha kilimo cha sokoine...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu naomba kuwafahamisha kuwa kwa waliopo Dodoma au nje ya Mkoa karibuni mnunue au muuze vitu tajwa hapo juu. Changamkia fursa ya Dodoma kuwa Makao Mkuu ya Nchi yetu ya Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimepata
0 Reactions
0 Replies
405 Views
ENEO: KIKUYU WEST NDANI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA. USAJILI: 800-sq NAMBA 34 KITALU A. UMBALI: DAKIKA 15 TOKA MJINI KATI. MATUMIZI: MAKAZI AU HOSTEL MAANA KIPO KARIBU NA CHUO CHA ST JOHN...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu na jamaa, Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa, natengeneza sofa za aina tofauti tofauti na za kisasa. Weka oda yako...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom