Natafuta nyumba ya kupanga jijini Arusha

Eli24

Senior Member
Jan 1, 2018
165
361
Habar wanajamii

Natafuta nyumba ya kupanga hapa mjin Arusha kwa bei ya kuanzia laki na nusu hadi laki mbili.

Mahitaji ni chumba self, sebule, jiko kwa ndan au hata double self itakuwa poa pia.

Maeneo ninayotamani sana ni Sakina, Majengo, Shamsi na Miazini.

Kama unayo Njoo PM tubongee biashara

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom