Nauza deep freezer futi 3

Nauza deep freezer futi 3

Villky_J

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
492
Reaction score
610
7af6c934fd5e44c764902caab7b96c1c.jpg
&lt;br /&gt;Kama mnavyoiyona hp wadau..bado ni mpya kabisa, imetumika miez 8, haina tatizo lolote ni nzuri kwa biashara bei ni &lt;br /&gt;Tsh 580,000/= kama unahitaji njoo PM tuzungumze biashara.<br />Kwa mawasiliano zaid piga simu no. 0627929637<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa muuzaji alijua yupo ngorongoro kwa watalii kumbe hapa ni jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyemuuzia alipata cha juu cha laki na ushehe. Mi kama sijui bei ya kitu huwa nazunguka hata maduka matatu nione range ya bei ilivyo. Duka la mwanzo nilimkuta mdada nahisi sio mmliki,yeye alinitajia 520k, nikaenda duka lingine nikamkuta mshkaji yeye akanitajia 470k na kuniambia ukweli kwamba hizi freezer ukiuziwa zaidi ya 450k ujue umelanguliwa.

Wadada humu madukani wapigaji ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom