Msaada : Metal detector

Msaada : Metal detector

Yuda Iscariot

Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
71
Reaction score
161
Habarini waungwana.

Msaada wa mawazo tafadhali. Kama kuna mtu anayo, au anamfahamu mtu mwenye metal detector yenye uwezo wa ku-detect down to 50m deep anicheck tuongee nae.

Pia, kama kuna anayejua namna mbadala ambavyo location ya gold chini ya ardhi na uwingi wake vinaweza kuwa determined kabla ya kuanza kuchimba.

Na pia, kama kuna maabara ambayo ukiwapelekea miamba wanaweza soma geology ya eneo ilipotoka na kukupa taarifa sahihi za madini.
Natanguliza shukrani
 
Hakuna metal detector ya uwezo huo ila kuna chombo kingine kinachotumika kukagua miamba na kuinyesha umbali na ukubwa wa stock ya dhahabu nk
Ooh! Vipi, unaweza ukanielekeza jina na namna ninavyoweza kupat huduma ya hicho chombo ndugu. Nitashukuru sana
 
Katafute GPX 3000 ao GPX 2020. izo zitakufaa sana. mimi ninazo ila nimepeleka congo zinapiga kazi huko.

nukta
 
Katafute GPX 3000 ao GPX 2020. izo zitakufaa sana. mimi ninazo ila nimepeleka congo zinapiga kazi huko.

nukta
Hongera sana kiongozi. Vipi, katika kuwapimia watu kuna ambao walishapata mzigo kwenye umbali ambao mashine ilionyesha? Na nasikia zinaonyesha na kiasi cha mzigo unachoweza kupata, hilo nalo ni kweli? Sorry kwa maswali mengi,
 
Kuna chombo kinaitwa Gerpard Ground Radar Gpr z30 inakuwa suported na android system hivyo hata simu au tablet inaweza kuwa screen ya kuangalizia umbali na mali iliyopo chini uwezo wake ni maximam 40 meters kuna series ya hizo kitu unaweza cheki kwenye google zaidi, hiyo ni teknology ya ujerumani ambao kimsingi kwenye madini ni miongoni kwa vidume, kwa upande wa marekani mashine inaitwa Garret ni nzuri sana pia cheki hapa
this HTML class. Value is جهاز كشف الذهب والمعادن 2017 احدث اجهزة كشف الذهب والكنوز الاثرية
this HTML class. Value is Garrett Metal Detectors® | Metal Detector Manufacturer,


Ooh! Vipi, unaweza ukanielekeza jina na namna ninavyoweza kupat huduma ya hicho chombo ndugu. Nitashukuru sana
d
 
Back
Top Bottom