Naomba kujua bei ya deep freezer

Naomba kujua bei ya deep freezer

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,186
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje?

Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback)

Asante
 
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje?

Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback)

Asante
Inategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv!
 
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje?

Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback)

Asante
Mi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom