Pikipiki aina ya Boxer BM150 inauzwaje?

Pikipiki aina ya Boxer BM150 inauzwaje?

Avictown

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
98
Reaction score
56
Naomba kujua pikipiki aina ya boxer inauzwa shilingi ngapi na ofisi za wauzaji wakuu (agents) ziko wapi kwa Dar es salaam?
Msaada please. Nahitaji kununua hii pikipiki.
 
Naomba kujua pikipiki aina ya boxer inauzwa shilingi ngapi na ofisi za wauzaji wakuu (agents) ziko wapi kwa Dar es salaam?
Msaada please. Nahitaji kununua hii pikipiki.
nauza hii hapa ina miezi mitano mill1.75
IMG-20181101-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom