Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Asalam aleykum wanajukwaa Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim. Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Camera Olympus Pen E-p3 inauzwa Ina miezi 8 tangu inunuliwe Inafanya kazi kama ilivyokua mpya Bei ni 600k tsh. Napatikana morogoro Viambata hapa chini ni picha ya , Camera yenyewe, charger ya...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Nyumba ipo Kimara Baruti kutoka morogoro road ni dk 4 Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom sebule jiko pamoja na public toilet Ina Tailz jipsum na MAJI yanatoka ndani masaa 24 pia...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama kuna sehemu inajengwa kisasa, kimpangilio na kwa utaratibu wa hali ya juu ni kigamboni. Kama umefanikiwa kufika kibada, shangwe, ungindoni na tuangoma utakubaliana na mimi. Kwa mtu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za sikukuu ya Pasaka? Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
DVB T2 RECEIVER FULL HD Support over 240 FREE channels All local channels included Support WIFI for Youtube Support USB Multimedia playback Support PVR ANGALIA CHANNEL 240 BURE KABISA BILA MALIPO...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza cpu aina ya dell ram 2gb Ina tatizo moja usb port hazisaport kama kunaatakayeina inamfaa basi tuwasiliane Bei ni Laki Moja Ipo dar 0715737920
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wazee hivi viatu nilinunua kwa ajili ya kuvaa mwenyewe ila vimenibana mana ni namba 41. Km umevielewa nicheki unirudishie hela Viatu ni vya mtumba, Bei ni 40,000/= tu, Namba ni 41 Sent using...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitaji au natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini garama iczidi 20 au 25...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tuna usafi wa aina 2 kwa ajiri ya gari yako 1.Gari itaoshwa nje na ndani bila kutoa kitu. 2.Gari itaoshwa nje na ndani kwa kutoa viti vyote na kisha kufanyiwa usafi wa kina kila sehemu kwa umakini...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi
0 Reactions
6 Replies
4K Views
husika na kinywa cha habari hapo juu Mimi ndugu mwana jf ninahitaji line ya vodacom m pesa iwe double line ambaye anayo aje [emoji395] Location dodoma [emoji404] tukikubaliana [emoji395]...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
  • Closed
Wapendwa wana jamii forums, wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari Wana jamiii nauza television aina ya sumsung old model kwa bei rais lakin ina tatizo kidogo la kubadilisha kiooo Ila ina Waka vizuri kwa bei cheee Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KIFUSI KINAHITAJIKA TUANGOMA MWENYE NACHO TUWASILIANE
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Serious buyer pls inbox Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Fika ofisini kwetu tegeta njia ya wazo au piga simu namba 065716052
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau,mwenye kuhitaji tuwasiliane
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za uzima, Kama unauza laini za tigo pesa basi nitafute niko DSM 0756587380
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za kazi na mihangaiko wakubwa naenda straight kuna line ya uwakala /wakala ya TIGO inapatikana bei 170,000 kama upo na need na hii kitu njoo inbox nawatakia siku njema wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom