Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MARILYN, May 6, 2011.

 1. MARILYN

  MARILYN Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta MTU anaetaka eneo kwa ajili ya KITUO CHA MAFUTA nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 512
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mpaka awe Mwarabu. Naona umesisitiza mar mbili
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama wewe ataka mwarabu mimi hainihusu.................
  Kwaheri
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  stupidity why mwarabu? kwanini unataka kuuza nchi yako kwa majangili??
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kweli akili za watanzania zimedumaa. Unadhani hamna mtz native anayeweza kununua hapo hadi awe mwarabu. Kweli kazi tunayo watz
   
 6. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sasa kila mtu mwenye ardhi akimuuzia mwarabu hii nchi si itarudi kwenye utumwa. Hapo serikali inabidi ingilie kati kwa kweli mambo kama haya
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  leo ukiuza ardhi yako kwa mwarabu kesho utamuuzia mwili wako.
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280

  Taja bei yako mkuu?
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ukisikia Inferiolity Complex ndio hii! Kwa hiyo hata akitokea Mbantu mwenzio mwenye mkwanja unaohitaji wewe utakataa hadi ajitokeze muarabu??? Pole Sana.
   
 10. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naamini una lako jambo hapa. Kwa nini mnunuzi lazima awe mwarabu? Huo ni ubaguzi wa hali ya juu. Labda kama kama kuna ya zaidi unayoyataka baada ya hayo manunuzi toka kwa huyo mwarabu. Tujuze
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  umenishangaza, hivi wewe ni mtanzania kweli?......halafu unasema sheli? ni lazima iwe shell au hata Oryx, BP, Total, zitafaa?
   
 12. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hivi kwanza kuna Shell Tanzania? Nafikiri waliondoka siku nyingi sana. Au kila kituo cha mafuta kinaitwa Shell?
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkwanja nnao ila mi 'dengereko, hun'taki mimi au hutaki hela yangu?
   
 14. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ni PM bei! Pia unihakikishie document zake kama zipo Ok na sio hifadhi ya barabara
   
 15. MARILYN

  MARILYN Member

  #15
  May 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio lazima mwarabu lakini mara nyingi warabu ndo watu wa sheli,
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Unaposema sheli unamaana Shell ama? Unatuchanganya. Hakuna Shell bongo siku hizi. Halafu kusisitiza mnunuzi awe mwarabu ...mmmnnhhh...una lako jambo esp. baada ya manunuzi kufanyika
   
 17. MARILYN

  MARILYN Member

  #17
  May 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu itabidi uje ulione ili uweze kunishauri bei maana ni eneo kubwa na lina nyumba pia
   
 18. S

  SAIDALI Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [acha ujinga wewe , kasema mwarabu kwa lengo lake, acha kutukana kabila wewe pumpavu wewe
   
 19. S

  SAIDALI Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni biashara kataka mwarabu so haina haja kutoa mdomo wako
   
 20. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wewe lengo lake umesha lijua mbona unakurupuka na matusi ndg hatuendi hivyo.
   
Loading...