Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanajamvi..... Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
TAFADHALI NATAFUTA KIWANJA CHA KUJENGA NYUMBA IRINGA MJINI MWENYE NACHO ANI PM
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kama una kiwanja naomba nicheki, Ujanja ujanja weka pembeni, tutafungana.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Pet puppies available in kigambon Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Kiwanja kimefec lami ya Bahari beach, ukubwa 1800 sqm Panafaa biashara, au makazi pia. Bei 295m Maongezi zaidi +255756060183
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, jaman nahitaj mtu anaweza kudesing frem mbele kama hvyo. Mwenye ujuzi anichek pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Nyangomango jaribu na stand ya Nyashishi kimepimwa kama eneo LA kiwanda ni heka mbili bei million 150 kina hati mawasiliano 0758381277
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Jipatie Viwanja kwa bei nafuu CALL 0757059401 ⦁ Viwanja vipo njia kuelekea Bagamoyo ⦁ Magharibi mwa Bunju na Mabwe Pande ⦁ 6 KM kutoka shule ya Baobab ⦁ Pembezoni kwa bara-bara ya Mapinga-Maili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Toyota Voltz ,@11mil ,Full Ac ,Engine Vvti ,mawasiliano 0623252097
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Waungwana salam zenu kutoka kwangu. Naomba kufahamishwa sehemu naweza pata viatu na mikanda ya ngozi ya mtumba nikiwa Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa kigamboni maeneo ya geza ulole ipo pembezoni mwa beach ya Islam pub,..... SIFA ZA NYUMBA - Nyumba Ina hati miliki na kiwanja chake kimepimwa na ardhi kina ukubwa wa 900s/m -Nyumba...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta bodi ya bajaj kwa vile bajaj yangu iligongwa na kuharbika vibaya injini iko safi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Infinix HOT 6 Pro X608 Dual sim Storage 16gb | Ram 3GB Network 4g | Display | 6"inches Security | Fingerprint Sensor Face ID, Camera | 13MP + 2MP LED flash Selfie | 5MP front camera Android 8.0...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
TAWA WATER PROFFESONAL Tunachimba visima vya maji na kufanya utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) kwa ghalama nafuu kabisa Bei ya Uchimbaji kwa wateja wa Dar es salaam ni elfu...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Kwa mkoa wa Dar Na bei zake zikoje Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Niko Zanzibar ambapo Ngo'mbe wa kilo 200 anauzwa laki 7. Ngombe huyo wanapatikana Mwanza Magu au Dodoma Kigwe kwa laki moja au laki, na 30 nyasi za kula na mswagaji mpaka Dar kwa Ng'ombe 50 ni...
2 Reactions
17 Replies
9K Views
Habari kwenu wanajf,,,naomba niende kweye mada kama inavyojieleza.Nina wazo ka kufungua kibanda kwa ajili ya kuuza madaftari jumla na rejareja mkoani.Ombi langu ni kutaka kujua kwa mliopo humu na...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mwenye kuitaji nauza Makochi ful set Laki mpaka 450,000 mwisho. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Wakuu Nina pound one kama 5 kama unaitaji njoo pm tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom