Jipatie freezer kwa bei chee

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
981
1,606
Habarini za saa hizi wakuu,
Kuna freezer liko sokoni ni kubwa na limetumika miezi mitatu tu,bei ni sh. 1,400,000/=.liko maeneo ya Temeke DSM
 
IMG_20170203_211916.jpg
,kwa maelezo zaidi
 
Mkuu sijawa na uhakika kuhusu ujazo wake,ila ni kuanzia 350L kwenda juu
Kwa ujazo huo haliwezi kuwa being hiyo ,Lita 544 ni shiling 1.149900/=milioni likiwa jipya.so kwa bei tajwa lazima liwe zaid ya Lita 550
 
Uko sawa mkuu maana najarbu kupitia user manual yake hawaja specify ujazo wake
 
Kwenye manual wameandika anglia front page .ktk Maelezo ya installation,electric supply and whatever some where wamesema .,utakuta wameandika kama ni Lita miatatu na hamsini unazosema wataandika 350M.
 
Najarbu kuangalia lkn hawajaandika mkuu
 
Back
Top Bottom