Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ndugu WanajamiiForum, hamjambo? Mimi ni mgeni hapa, sana. Siku ya leo, Jumamosi 26 Desemba, 2009, ni siku yangu ya kumi (10) tu. Kwa hiyo bado sina hakika kama ninalotaka kuuliza linaulizika au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Its just to say hello to all members of this forum coz its my first time. nawapenda wote, nitashukuru mkinikaribisha kwa nguvu zote. Ahsanteni sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefurahi sana kujiunga na JF na ninatumai itanipa uelimisho wa kina na dhati kuhusu masuala ya kimaendeleo Tanzania. Pia nitapata nafasi ya kubalishana mawazo na wanaJF kwa yale ambayo nitaweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii. ingawa nimejiunga kitambo kidogo, lakini samahanini niliingia bila hodi. unajua ni nini? nilishindwa kupiga hodi (ku-post thready) siku ya 1. si unajua tena kuku mgeni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hi
i like cricket....... I like indian cricket team players sachin, Dhoni, and sehwag now..........
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi folks! I have been reading your inputs and thought it is time to join this forum. You are all great! I hereby wish Peace as your gift at Christmas and blessing all Year 2010 through...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi members, my name is Sylvia and I am glad to be a member of the forum.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
hi..have been enjoying the jf articles for quite sometymz so i think its time to officially join in the club....hello everyone....
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawasalimu nyote kwa unyenyekevu. Nimejiunga kujifunza na kuchangia kadiri ya weledi na ujuzi wangu. Na kubwa zaidi, natafuta wabia wa kujiunga nami katika biashara huru ya kimataifa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi Jamii Forum Members! Im hapy to join the team today,hopping that we will share valuable ideas together.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sio mchezo wazee ndiyo naingia kwenye uwanja wa kuchakatua mamabo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mambo wanakijiji? Niliingia kijijini nikapewa ufungua tahamaki hamad ufunguo siuoni imenichukua busara kupata ufunguo huu sasa nadhani naweza kuingia na kutoka jamaa wamenipatia spea. tutaonana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi ma friend of JF am new member!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey dears! naomba mnikaribishe ktk jukwaa hili la wastaarabu maana nimevutiwa nalo! Hope mtanifungulia mlango
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hi Wanakijiji, mimi ni mpya hapa,na nafurahi kuwa hapa JF kama mmoja wa wana kijiji wa JF Najaribu kutuma post hapa ya kujitambulisha sasa sielewi kama ni sehemu sahihi au tofauti ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kutokana na michango yenu yenyekuvutia,kelimisha na kufurahisha nami kijana wa makamo nimeamua kujiunga nanyi kuchangia katika yale nitakayokuwa na uwezo nayo kuyachangia.kwa namna itakavyokuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ningeliomba samahani kwa kuwa nimejiunga kipindi bila ya kujitambulisha kwa wana JF. Mimi naitwa Mrfroasty, natokea Zanzibar na nilijunga na JF kama miezi 6 iliyopita na nimekuwa mdau tokea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi Great Thinkers, Na furaha isio kifani kujiunga nanyi siku hii muhimu. Ikiwa imebaki siku moja kuadhimisha siku ya uhuru wa TANGANYIKA nawaomba mnipokee kwa mikono miwili. Kwa kuwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
habari? nimejiunga rasmi na jamii Forums the home of great thinkers. naombeni ushirikiano.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanandugu wa jamiiforums nabisha hodi naomba mnipokee,wakubwa zangu nawaammkua shikamoo,tulio age moja mambo vp?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom