aliko stewart
New Member
- Dec 14, 2009
- 2
- 0
sio mchezo wazee ndiyo naingia kwenye uwanja wa kuchakatua mamabo
PJ umenikumbusha mwanzoni wakati unatia timu JF. Umekumbuka?Mnyakyusa wa wapi wewe!
Tukuyu..Kyela au kwa MWAKITAKOTAKO?
Mhh!PJ umenikumbusha mwanzoni wakati unatia timu JF. Umekumbuka?
Mkuu umesahau? Okey nitakuPM badaeMhh!
Ilikuwaje Mkuu?
Huenda nika wa nimesahau, siku nyingi ati, embu nikumbushe mwanaharakati!
sio mchezo wazee ndiyo naingia kwenye uwanja wa kuchakatua mamabo
Jina la mtu dada CD, ndio uzuri wa makabila mengihahahah! Great thinkers. Karibu. Hivi jamani mwakitakotako ni jina au sehemu?
sio mchezo wazee ndiyo naingia kwenye uwanja wa kuchakatua mamabo