Being a technologically challenged being, it took me this long to register, but it is really good to be here finally. Asanteni kwa kunikaribisha, Mtanganyikan mie.
habari waungwana.
leo nimejiunga rasmi uwanjani hapa JF. ni matarajio yangu kuwa tutaendelea kuwasiliana na ndugu wote na kubadilishana mawazo na michango mbalimbali kwa maendeleo yetu kama...
nawasalimuni nyote kwa moyo mmoja, kaka zangu, baba zangu, mama zangu na wanawake wenzangu kwa ujumla. jamani, mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi. japo ni mgeni humo ndani...
Ni wapi (studio gani) hapa Bongo ambapo unaweza kupiga picha kwa ajili ya Diversity Visa (DV-2011) Green Card Lottery
tafadhali naomba kuuliza maana nataka kujaribu bahati yangu
hello wanaJF,nami nimekuwa humu kwenye forum kwa muda kidogo kama miezi kadhaa hivi,lakini sikuwa nimejitambulisha,but nilikuwa nachangia mada kama kawa,so najitambulisha rasmi kwenu,
asanteni
Waungwana hamjambo?? Napiga hodi kwenu tafadhalini nipokeeni ni mgeni wenu kwenye Blog hii ya Jamii, ndiyo naja kwenu leo.
Jamani nimekuwa mwanachama, nakubali hiki ni kisiwa cha fikra. Asanteni...
Hi every1?Hopin ur all great,am a new member in writting though i hav been here for almost a year now!!!!!!!!!!!!looking forward to posts and commentin
Yes i can say JAMIIFORUM is really Home of great Thinkers, I join the Forum without compulsion of any one therefore its my keen interest and hoping to learn more, and sharing ideas.
JAMIIFORUM...
Na mie nimejitutumua kujumuika nanyi kimawazo, kujifunza na kufundisha mtandaoni. Natumai kuna mengi na wengi tutakao afikiana na kutoafikiana, ila kadri ya itavyokua tuweke mbele uungwana...
Naomba nijumuike nanyi katika kazi hii adhimu ya kukumbushana wajib, majukumu na haki zetu kama waTz bila kuoneana haya ili jamii isijelia na kusaga meno kwa kunyamaza kwetu
wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango
msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.