Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 326
Habari wanajamii. ingawa nimejiunga kitambo kidogo, lakini samahanini niliingia bila hodi. unajua ni nini? nilishindwa kupiga hodi (ku-post thready) siku ya 1. si unajua tena kuku mgeni?
Nachukua fursa hii kupiga hodi. jamani hodi wenyewe mpo?
Kwa kuwa tunaelekea mwisho wa Mwaka nawatakia nyote kheri na fanaka kutoka kwake Muumba Mbingu, ardhi na vyote vilivyomo. Kheri ya Noel na Mwaka mpya wa 2010.