Hi Wanakijiji,
mimi ni mpya hapa,na nafurahi kuwa hapa JF kama mmoja wa wana kijiji wa JF
Najaribu kutuma post hapa ya kujitambulisha sasa sielewi kama ni sehemu sahihi au tofauti ya kujitambulisha maana sioni mahali kwingene.
Na pia nawapongeza wengi wenu kwa kutuma post za kujenga hadi uwa nawaza kama hizi post zenu hawa walengwa kama wanazipata hasa hasa hizi za siasa.
Asante
Dear