karib sana. jitahidi kutumia lugha nyepesi isiokera wakati wa majadiliano. zingatia sana hili bikozi humu ndani kuna, waja wazito, waliofukuzwa kazi,waliotalikiwa,walioshushwa vyeo n.k. na wanasayansi wanasema hasira za watu kama hao zinakuja ghafla kama ushindi wa ccm. karib sana jiskie upo ikulu.

Specificaly umeinjoy nini sana? Jukwaa lipi? Karibuhi..have been enjoying the jf articles for quite sometymz so i think its time to officially join in the club....hello everyone....
deh deh deh! ai apolojaiz, nilikuwa najaribu kumtest mgeni wetu kama ni ccm au chadema lakini naona gafla kapotea onlaini .Oya ushindi wetu huwa tunaupanga kisayansi hauji ghafla kihiyo, labda useme ghafla kama migogoro ya chadema.
Dont tell me habari za FL1 zimeshaenea kihivi!...watu bana!
Oya ushindi wetu huwa tunaupanga kisayansi hauji ghafla kihiyo, labda useme ghafla kama migogoro ya chadema.
hi..have been enjoying the jf articles for quite sometymz so i think its time to officially join in the club....hello everyone....
Kaka umetugusa wengi hapa for sure, saa nyingine usiwe mkali kama klorokwini banadeh deh deh PJ bana! kama ndio hivyo msisitize akacheki dna. na yule mzizimkavu mbona anachelewa kuweka sheria sku hizi? aaargh mtu unajiunga jf kwa kutegemea laputopu ya cafe bana! dryroot weka sheria haraka kabla hatujakuuzulu.
USISAHAU NA WANAOOA FEBRUARY wapo!!!!!, hahahaaaaaa pillazzz and wapwaazzz yuu noo wot ai miin??karib sana. jitahidi kutumia lugha nyepesi isiokera wakati wa majadiliano. zingatia sana hili bikozi humu ndani kuna, waja wazito, waliofukuzwa kazi,waliotalikiwa,walioshushwa vyeo n.k. na wanasayansi wanasema hasira za watu kama hao zinakuja ghafla kama ushindi wa ccm. karib sana jiskie upo ikulu.