Wacha bana...Usinambie!Thank you Lily Flower
yafaa kujadili biashara in private. Nitafungua a "private forum within this forum" ambapo tutajadili biashara !
Nawasalimu nyote kwa unyenyekevu. Nimejiunga kujifunza na kuchangia kadiri ya weledi na ujuzi wangu. Na kubwa zaidi, natafuta wabia wa kujiunga nami katika biashara huru ya kimataifa.