Dr. Kaaya

Huh..Sylvia..It sounds a gud name,eeh!But who is that doctor(Dr) you mention on top there?...Or you like to call yourself "Doctor", just like Dr Karume of Unguja?.....
 
Karibu,

Are you a MD or PhD?

Does the "doctor" define you?

Utajisikiaje watu wakisema kwamba kujitambulisha kama doctor katika mazingira yasiyohitaji hilo ni kujishaua? Vipi kama kila mtu angejitambulisha kwa profession nyake, mzibua vyoo Juma, muashi Shabani etc, ingekuwa vizuri zaidi au ingekuwa chaos? Kama ingekuwa vizuri mbona watu hawafanyi hivyo?

Kuna watu wanasema doctors na lawyers wako overrated, na overration hiyo ndiyo inayosababisha watu kuona ujiko kuwa ma doctor na kujitambulisha kama "Doctor fulani" badala ya fulani, wewe unalifikiriaje hili?

Hivi body ya madaktari ikiku-delist utabaki kuwa Dr. Kaaya au utakua Kaaya tu?

Nauliza kwa sababu tulikuwa na debate ya umuhimu wa watu kuji introduce kwa titles zao.

Nothing personal, na usikonde wala nini, kama mwanasayansi/ mwanataaluma naamini unajua the value of critical analysis.
 
Mazee kwa vile haikatazwi mimi sioni tatizo hapa kama mtu atajitambulisha kwa taaluma yake.La muhimu iwe ya ukweli na siyo famba za wakina Nchimbi&co.Tunatofautiana na kila mtu ana interests zake.Unaweza ukadhani labda jamaa anatafuta ujiko akijitambulisha kuwa yeye ni MD au PhD lakini kumbe mwenyewe wala hana hayo mawazo na anafanya hivyo pasi na majigambo.Kusingekuwa na vurugu yoyote hapa hata wote humu wangeamua kuingiza taaluma zao au kazi zao kabla ya majina yao.Kuna members wengine hapa kwa mfano wanajiita Engineers,Mwanafalsafa..Kuna wengine wanajiita Walimu na sioni ubaya wowote.Mtu akijiita MD au PhD atajipa tabu mwenyewe manake saa zote itabidi ahangaike kuhakikisha kuwa michango yake imekaa ki MD au PhD.Na akishaanza kusurubiwa kwa hoja mwenyewe atatoka akatafute ID nyingine ya kujificha.
Taaluma ya udaktari ni ngumu,delicate na inachukua muda mrefu sana mpaka mtu akahitimu.Kwahiyo acha iwe overrated.Anayehitimu atakuwa Daktari mpaka mwisho wa maisha yake.Hata bodi ya madaktari ya sehemu husika ikimuondolea usajili,ataendelea kuitwa Daktari isipokuwa hataruhusiwa ku practice medicine mahali pale.
 
Karibu,

Are you a MD or PhD?

Does the "doctor" define you?

Utajisikiaje watu wakisema kwamba kujitambulisha kama doctor katika mazingira yasiyohitaji hilo ni kujishaua? Vipi kama kila mtu angejitambulisha kwa profession nyake, mzibua vyoo Juma, muashi Shabani etc, ingekuwa vizuri zaidi au ingekuwa chaos? Kama ingekuwa vizuri mbona watu hawafanyi hivyo?

Kuna watu wanasema doctors na lawyers wako overrated, na overration hiyo ndiyo inayosababisha watu kuona ujiko kuwa ma doctor na kujitambulisha kama "Doctor fulani" badala ya fulani, wewe unalifikiriaje hili?

Hivi body ya madaktari ikiku-delist utabaki kuwa Dr. Kaaya au utakua Kaaya tu?

Nauliza kwa sababu tulikuwa na debate ya umuhimu wa watu kuji introduce kwa titles zao.

Nothing personal, na usikonde wala nini, kama mwanasayansi/ mwanataaluma naamini unajua the value of critical analysis.
Huyu yuko innocent,(She is a real medical doctor, a psychiatrist, I know her very well) May be ameshazoea kutumia initial ya Dr. any where,especially for her patients!
Anyway, karibu sana, hapa unaruhusiwaaa kuongea kila kitu kama K.....!
 
Hi members, my name is Sylvia and I am glad to be a member of the forum.


Karibu JamiiForums.com (A Welcome Note)
Tunafurahi umetutembelea. Ni faraja kuwa mwanachama wa bodi yetu. Heshimu uliowakuta kwenye bodi hii. Tunawaheshimu wanachama wetu na kuwapa thamani sawa.

Tunatoa UHURU WA KUONGEA. Kama mada inakukuna au kukugusa kwa kiwango ambacho unaona lazima utoe majibu jisajili na kutoa ufafanuzi yakinifu.

Ieleweke kuwa, Yaandikwayo hapa ni mawazo ya wateja wetu na si msimamo wa JamiiForums.com ama vinginevyo. Lugha za matusi hazitavumiliwa!

Tutashukuru pale ukiona jambo baya ukatufahamisha tulifanyie marekebisho haraka kabla hujakashifu au kutoa lawama. Sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu.



SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

4. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

5. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

6. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

7. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.


Other Rules to be noted:

1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

2 - Profanity:
Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

3 - Spam:
Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

4 - Email & Private Message Spam:
If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

5 - Piracy, and Warez:
We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy is grounds for an immediate ban.

6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

7 - Off-Topic Posts:
There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

8 - Circumventing a Ban:
If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

9 - Nudity / Porn:
Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

10 - Signatures & Avatars:
We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.

11 - Questionable Content:
Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.

JINSI YA KUCHANGIA JF Mkuu wangu

Ukweli ni kuwa siku za nyuma tulijaribu sana kuwafahamisha members kuwa JF haiendeshwi kwa fedha za watu flani bali kwa kujitolea.

Tukatanabaisha wazi kuwa wanachama na wote wenye mapenzi mema inabidi watambue kuwa tuna mzigo mkubwa wa kubeba kwa niaba yao.

Nyakati hizo tulikuwa na wanachama waliojisajili karibia 2,000 hivi na tukasema endapo kila mwanachama (aliyejisajili) angechangia Tshs 10,000/= basi ilimaanisha kuwa tungepata Tshs 20,000,000/= ambayo kwa wakati huo ingetosheleza kuiendesha JF kwa karibia mwaka mzima bila wasiwasi.

Maisha yakabadilika, Server tuliyokuwa nayo ilikuwa ndogo sana kumbe kulinganisha na uhitaji wa watanzania, balaa lilionekana wazi Mwezi Februari pale Mhe. Lowassa alipokuwa akijieleza Bungeni... Server ikachemsha kubeba mzigo mkubwa.

Kwa wakati huo tukaona ni vema tukaangalia namna ya kuweza kuwashirikisha wanachama juu ya ugumu tunaokumbana nao... Tukalazimika kununua server kubwa zaidi mbili na zenye back up za kila baada ya masaa 6 kwa nyakati tofauti. Tukiwa na uwezo wa kufanya hosting hata BURE kwa website za watanzania.

Hilo likasaidia japo kwa gharama ambazo zilitoka mfukoni mwa mwanachama mmoja! Ndiyo, kulipia server hizo kila mwezi ni karibia $900 na ameendelea kufanya hivyo kwa imani kuwa kuna siku mambo yataenda sawa.

JF inahitaji SANA michango ya watanzania na wote wenye mapenzi mema.

Kuna wanachama ambao humu mnawaona wana usernames ambazo ni bolded, hawa ni Premium Members. Hawa walau wamechangia kwa kiwango cha kuanzia $5 na wawili walau $300 tangu JF inaanzishwa mwaka 2006 (ikijulikana kama JamboForums).

Tangu JF inaanza (2006) mpaka sasa, tumekwishapokea jumla ya US$ 1,450/= toka kwa wanachama waliojisajili na wasiojisajili.

Wengi wa waliohitaji kuchangia walikuwa wanatuma barua pepe nasi tunawapa maelekezo juu ya namna ya kutufikishia michango hiyo.

Ukweli ni kwamba kwa wasio wanachama wa JF wakiwa wanasoma hapa wanaona matangazo mengi ya Google kuliko wanachama waliojisajili.

Dhamira yetu si kuweka matangazo haya ya Google kwani hayaingizi kwa kiwango kikubwa hivyo, watu hawabonyezi matangazo hayo na hivyo income yake inategemea pale mtu atakapokosea akabonyeza tangazo ndipo tupate vijisenti kidogo kwa clicks hizo. Gharama za uendeshaji bado zinatoka mfukoni mwa mtu mmoja mpaka sasa na baadhi ya Premium Members ambao wameendelea kuona umuhimu wa kufanya hivyo.

Mpaka sasa JF ina wanachama waliojisajili karibia 8,000. Endapo waliojili hawa wangechangia walau Tshs 10,000/= kwa mwaka basi inamaanisha JF ingetengeneza Tshs 80,000,000/= kwa mwaka na hivyo tusingeweka matangazo KABISA na tungejitahidi kupata moderators ambao watakuwa wanalipwa kwa kazi yao na wangeifanya kwa umakini mkubwa zaidi.

Ukiangalia katika historia ya Forums nyingi, huwa zinashindwa kuhimili traffic inapokuwa kubwa kutokana na servers kuhitaji umakini zaidi na Forum owners hujikuta wanaona ni mzigo usio na faida hivyo forums hizo kufa.

Tumshukuru Maxence kwa kuendelea kulipia gharama hizi kila mwezi kwa kujitolea mpaka sasa huku akilipia na Chat Server (IRC Server).

Wapo wanachama kama Ogah, Nyambala, SteveD, FairPlayer, Mchukia Fisadi na Phillemon Mikael ambao huchangia walau kila wanapopata wasaa... Hawa nao wamesaidia kwa kiwango kikubwa katika jitihada za kuhakikisha JF inakuwa hewani. Bila kuwasahau wadau waliochangia walau $200 hivi initially kama Mtanzania, Field Marshal ES na Halisi.

Ninachoamini binafsi ni kitu kimoja, Tshs 5,000/= kwa mwaka inawezekana kabisa kwa watanzania tulio na uwezo wa kuingia mtandaoni. Na uzuri, benki zetu Tanzania zinaruhusu mtu ku-deposit Tshs 5,000/= kama kiwango cha chini.

Endapo kuna mwanachama anaguswa (kutoka moyoni) na angependa kuiwezesha JF kuendelea kusimama imara na kufanya vema zaidi bila mizengwe ya kifedha, basi anaweza kukubali kuchangia Tshs 5,000/= walau kwa mwaka.

Benki zetu (hapa naongelea NBC na CRDB kwa haraka) hazikulazimishi unayetuma hela kuandika jina lako la kweli bali lile ambalo ungependa mpokeaji alitambue.

Kwa walio Tanzania wanaweza kuichangia JF kwa kutuma katika akaunti za NBC au CRDB.

Akaunti ambazo tangu awali tulipendekeza zitumiwe ni za Maxence Melo (as the JF Founder) na tukawaomba wanaotuma waandike Nicks za kuweza kutanabaisha kuwa wao ndio walotuma.

Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo wa Dar es Salaam.

Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

NBC:

Acc #: 033201064359
Jina: Maxence Melo Mubyazi

CRDB:

Account Name: Maxence Melo Mubyazi
Bank: CRDB Pugu Road Branch
Swift Code: CORUTZTZ
Acc No: 01J2092391800

Njia ya nne ni kwa kutumia email ya macdemelo@gmail.com
kwenye hii link: https://www.payoneer.com/webapps/Load/LoadToPage.aspx

Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.

JamiiForums Administration
 
habari doctor kaaya
maana mko wengi madoctor kaaya

yupo Dr Kaaya TPDC
yupo DR Kaaya UDSM
Yupo Dr Kaaya Botswana
Natumaini utakuwa mmoja wa hao, l
 
habari doctor kaaya
maana mko wengi madoctor kaaya

yupo Dr Kaaya TPDC
yupo DR Kaaya UDSM
Yupo Dr Kaaya Botswana
Natumaini utakuwa mmoja wa hao, l

Unaju Sylvia ameamua kukaa pembeni kuwashangaa. Yaani yeye kasema anaitwa sylvia, chini kaandika Dr. Kaaya, user name yake ni skaaya. Sasa malumbano ya nini na yeye kishaweka kila kitu wazi?. Au ndiyo ili mradi vidole viguse keyboard?.

Karibu dada Sylvia JF, naamini as time goes utanufaika sana na jukwaa hili na pengine kuamua kujiunga kwa jina jipya ili uwe na uhuru wa kuandika bila woga.
 
Mimi nilitaka kusikia debate hii kutoka kwa Doctor.

Naelewa umuhimu wa kujitambulisha kwa profession, pengine tupo machizi hapa ambao tunahitaji msaada wake.Sasa ndiyo maana maswali mengi, wengine wamesema ni shrink, nimeuliza vizuri tu anaweza kujibu kama ni shrink, MD PhD etc.

Labda tunaweza kupata mtu wa ku brush up on Freud au hata sessions za online kiushkaji.

Ila swali linabaki, anaonaje kuhusu hii movement ya kuplay down titles,ningependa kusikia utetezi kutoka kwa Daktari .
 
Karibu sana kijiweni Sylvia. Maswali yaliyokukaribisha yasikutishe kuchangia hapa.Wengine tulishazoea. Karibu sana
 
Hi members, my name is Sylvia and I am glad to be a member of the forum.

karibu sana jf sylvia; kuna watu wa kila aina hapa expectedly!
wengine wana personality disorders za degree mbalimbali, na wengine ni cases za mental illness kabisa, kwa hiyo usishangazwe na baadhi ya comments kama ambavyo waweza kuona tayari katika hii thread uliyoanzisha.
naamini tutafaidika na michango yako, na pengine utaweza kuwasaidia watakaohitaji msaada wa matibabu!
 
kabisa.....
na sisi mabilinoea tujitambulishe
kwa title zetu sio?
bilionea fulani....?
 
unakaribishwa kuchangia na kuongea kila kitu ili mradi kisivunje maadili ya kijamii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom