Happy New Year Everybody! Looking forward to learning new things from JF members. I wish each one of you a blessed year full of great achievements and memories. Mungu awabariki nyote. Amen
Waheshimiwa mabibi na mabwana Shushushu nimeingia
msiogope sijatumwa na sirikali yeyote bali ni shushushu wa JF yaani natafuta mahabari na ma-breaking news kisha kuyamwaga hapa
bila shaka...
Hello every active member,i very much appreciate michango na uzito wa mijadala inayofanywa,nitajitahidi kuchangia au hata kutenda kulingana na michango ya wengi,ila muda kwangu ndiyo tatizo.
Wakuu upepo wa mageuzi ndo umeshanisukumia barazani ninapoanza mwaka mpya wa 2010. Bais nawatakieni kila la heri na fanaka katika mwaka huu na haswa kutimia kwa ndoto zenu kuu (na zangu pia) kama...
Habari wana JF wenzangu! ninaitwa Nsajigwa napenda kujitambulisha kwenu kama mwanachama mpya.
Napenda kubadilishana mawazo,tafadhari tupeane ujumbe wa aina mbalimbali.
Jamani mie ni mgeni mwenyeji, kwani ni siku nyingi nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao huu lakini mwenzenu nilikuwa sijaamua kujiunga kutokana na kuzidiwa na masomo, nilikuwa bado nakariri ujinga...
Hi to everyone.
I write you from far far away- from Armenia. I came to this forum because I need to find where this phrase is from "To be able to do everything by knowing nothing is dangerous"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.