Hodi naomba mnipokeee

Visible

Senior Member
Dec 8, 2009
139
1
Hi Great Thinkers,

Na furaha isio kifani kujiunga nanyi siku hii muhimu.

Ikiwa imebaki siku moja kuadhimisha siku ya uhuru wa TANGANYIKA nawaomba mnipokee kwa mikono miwili.

Kwa kuwa nimeshaona baadhi ya mada humu JF nyingi zinaelimisha kwa kweli hivyo ili JF iweze kufanya kazi zake sawa sawa,ningeomba kuichangia kitu kidogo.

Ningeomba kuepo na namba ya voda ili nitume kwa njia ya kuhamisha salio.

Nitafurahi sana kama itakuwepo namba ya vodacom ni rahisi coz nitatop up kwa urahisi zaidi nami ni subscriber wa voda.

Mwisho:nawaasa wenzangu kuichangia JF kwani kwa ujumla inaelimisha jamii kwa kuondo ujinga.

asanteni kwa kutumia a second of your time reading my message.

Thanks a million.
 
KAribu,..lakini angalia sana hilo jina lako........... maana kuna wengine wasije wakakutukana matusi yasiyokuhusu..........
 
Karibu sana...
Unakaribishwa sana , hasa kwa habari ya kuchangia JF, maana mkono mtupu haurambwi!
Utapewa ukaribisho maalum muda si mrefu, kuna mtaalamu mkaribishaji mkuu anakuona!
Kama ulivyoambiwa hapo juu, jina lako hilo, kwa uzoefu si zuri sana, nakushauri uombe kubadilisha....tunaongea kwa uzoefu kaka!
 
kwani kwenye JF si kuna uhuru au??/uhuru wa kuchagua jina au?/

nielewesheni kidogo mi mgeni mnanionya tuuu bila kutoa sababu za msingi???
 
Sa ukikatazwa ujue tunaongea kwa uzoefu...simple like that!
Jina la hivyo litakuzulia usiyoyategemea!
Baadaye utakuja ona mwenyewe kama unadhani ni mizaha!
Lakini napenda nikupongeze sana kwa mwelekeo chanya wa uchangiaji!
Fanya kila uwezalo utimilize ahadi yako...Dunia imekusikia!
 
Ebwanee karibu sana jamvini hujachelewa mambo badooooo mabichi kabisa.
 
VISIBLE karibu sana tuko pamoja naitwa NGULI natokea jukwaa la mahusiano.
 
Thanx NGuli;

Nguli naomba kuuliza::::eti jina langu lina tatiizo?manake nimechimbwa mkwara wa kufa MUTU hapa.
mpaka mikono imelowa maji.
 
Umeona hiyo picha yangu hapo ndo maanake, upo hapo?
 
karibu sana katika jamvi ila hilo jina linafanana na la invisible ndio mana tunakuomba ubadili hilo jina ila kama utapenda unaweza kubaki nalo ila uwe mkweli kuhna mwenzako alikuwa anatumia jina la invicble watu wakawa wanamchanganya na inivisible.

ila unakaribishwa sana katika kijiwe hiki cha maendeleo ya nchi yetu pia ukipata nafasi sio vibaya ukichangia forum yetu hii ili izidi kuendelea kuelimisha na kutupa habari
 
asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom