Here I come, Hodi hodi Great Thinkers

Joined
Nov 20, 2010
Messages
40
Likes
12
Points
15

MwanaIFM

Member
Joined Nov 20, 2010
40 12 15
Hellow......

Jamani mimi ni MwanaIFM, nimejiunga na kile chuo pale mjini! YES katikati ya mji na naweza kusema chuo kilichopo mjini kuliko vyote na nimevutiwa na majadiliano ya humu jamvini, Nimekua mtazamaji nkwa muda sasa tokea mwaka 2007 na sasa nimeona ni wakati wa kuchukua hatua zaidi na kuwa member kamili!!! Naombeni ushirikiano wenu tafadhali

Shukrani
 

Forum statistics

Threads 1,203,108
Members 456,600
Posts 28,100,193