Hodi jamani: Ninaomba kuwa mwanafamilia

BUBE

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
847
253
Habari ndugu zangu

NImekuwa ninasoma 'threads' zinazoandikwa na jinsi ambavyo watu wako makini katika kujadili mada muhimu zenye mustakbari wa Tanzania na jamii kwa ujumla. Binafsi nimevutiwa sana, na ningeomba niwe mwanafamilia. Tafadhali nikaribisheni

Bube
 
Asante sana Katavi
Bila shaka humu jamvini nitajengeka na kuhabarika. Natumaini nami pia nitakuwa wa mchango kwa wengine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom