Hodi waungwana!

Hodi waungwana!

Karibu sana prof, jisikie uko nyumbani... tunategemea uchangiaji uloenda shule na wa busara katika mada mbalimbali kutoka kwako humu jukwaani!!!!:welcome:
 
Karibu sana Profesa jamvini, tunategemea kupata mengi kutoka kwako.
 
welcome home prof. here we dare to talk openly. karibu sana
 
Karibu prof, tunawasubiri ma-dr wa PHD.
 
karibu sana prof,michango yako humu ni muhm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom