Waugwna munisaidie naingia mimi

Waugwna munisaidie naingia mimi

Jumanho

Member
Joined
Sep 14, 2010
Posts
37
Reaction score
5
Niaje wana jamvi hili, muungwana mwenzenu najitambulisha jamvini kama mnavyoelewa waungwana jamvini huruhusiwi kuingia na viatu na wala kuingia bila hodi na salamu.
Naomba kuwakilisha wakuu.
 
He Kalumanzila........anyway karibu sana jumanho jamvini!
 
Karibu sana jamvini jumanho, vipi 'brasilia' kwema?
 
Back
Top Bottom