mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Feb 25, 2011 #1 Habari zenu wanajamii wenzangu mie ni mgeni nabisha hodi naomba kukaribishwa katika jamvi hili
Omuregi Wasu JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 749 Reaction score 152 Feb 25, 2011 #2 karibu sana
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Feb 25, 2011 #4 Karibu sana soma kwa makini sheria na kanuni za jamvi letu.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Feb 25, 2011 #6 welcome!
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,738 Reaction score 8,180 Feb 25, 2011 #7 Karibu lakini usiwatetee watu wafuatao mkwere,lowassa,makamba,rostam,ridhiwan,pinda,membe na wengine wenye sifa kama za hao watu.
Karibu lakini usiwatetee watu wafuatao mkwere,lowassa,makamba,rostam,ridhiwan,pinda,membe na wengine wenye sifa kama za hao watu.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,430 Feb 25, 2011 #8 karibu sana jamvini na mie pia ni wa kisiwani.
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Feb 26, 2011 Thread starter #9 asanteni wote kwa ujumla,nashukuru sana kwa mapokezi yenu.M/mungu awabariki
IT Guru JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 635 Reaction score 113 Feb 26, 2011 #10 Karibu sana :welcome:
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Feb 28, 2011 #11 Karibu Sana
LoyalTzCitizen JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,323 Reaction score 1,088 Feb 28, 2011 #12 Fungua tu mlango upo wazi! Ingia na karibu sana.