Nahitaji sapota yenu Wakuu

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Ni matumaini yng kuwa nyote mfresh kiafya kama niilivyo mimi. Kama yupo aliye kuwa hayupo hivyo, Mungu amuondoshee mtatizo yake. Baada ya kuwepo juu kwa muda mrefu huku nikiangalia na kujifunza utaratibu wa humu, leo nimeamuwa ujumuika nanyi kwa kutaka kupata yaliyo mengi na bora zaidi. I hope tuko pa1 kuanzia sasa.
 
Karibu sana Mkwaruzo, soma kwa makini sheria zetu ili uweze kuishi kwa raha na amani katika kijiji chetu.
 
Okey, nitajitahidi juu ya hilo lkn naona nitamiss mengi ktk kijiji hichi coz device yng ninayotumia kwa sasa ni phone. Lkn hata hivyo, itanisaidia ktk kunifanya niwepo active.
 
Owkeey na ahsante kwa kuniaribisha lkn utakuja kuuelewa mkwaruzo huu ukoje, huu siyo mkwaruzo wa sauti but inshort, thnks alot
 
Thanks oll. Now nimeshaanza kuelewa jinsi ya kutumia baadhi ya vitu huku nikiendelea kufanya setting but nitakapohitaji msaada kwa pale mashaka/kutojiamini kwa ninachotaka kufanya, nitakuja pvt.
 
Msaada wenu plz.
1. Naanza na hili, nimeweka profile pic lkn naona haipo usefull ktk sehemu zote. Kuwa siioni ktk zile sehemu za kureply post.
2. Nahitaji nifahamishwe jinsi ya kuhamisha ki2 kutoka ktk folder 1 kwenda jengine.

Kwa sasa ni hayo tu
 
Unahitaji sapota au sapoti? Kama sapoti (support) utaipata mkuu. Ila kama sapota(supporter) kuwapata ni ngumu,kwani hapa JF naamini members wapo kwajili ya kutoa mawazo,changamoto na maoni mbalimbali yenye lengo la kutafuta njia za kuleta unafuu wa kimaisha na maendeleo hapa TZ.
 
Unahitaji sapota au sapoti? Kama sapoti (support) utaipata mkuu. Ila kama sapota(supporter) kuwapata ni ngumu,kwani hapa JF naamini members wapo kwajili ya kutoa mawazo,changamoto na maoni mbalimbali yenye lengo la kutafuta njia za kuleta unafuu wa kimaisha na maendeleo hapa TZ.

Nadhani wengi wamenielewa na wamefahamu ninacho hitaji. Nahitaji sapota yenu (kwa maana ya kitu) na kama ningelikuwa nahitaji sapota kwa maana ya watu ningelisema (nahitaji sapota wenu). Nadhani na ww Nyandaigobeko utanielewa pia
 
Back
Top Bottom