wanajamvi nikaribisheni mgeni mwenyeji

wanajamvi nikaribisheni mgeni mwenyeji

Joined
Mar 1, 2011
Posts
20
Reaction score
1
Habari zenu mliomo.
Nimekua mshabiki mkubwa wa jamvi hili lakini mara zote
nikiwa mtazamaji tu na kila nilipotaka kuchangia nazuiwa
kumbe nilikua mpitaji sasa naingia rasmi nipate kuchangia
na kutoa niliyonayo.
Wanaume kwa wanawake,majukwaa yote ntajituma maana yananivutia.
Jina langu linamaanisha Kizuri Uzima (mengine majaaliwa)
Nawakilisha.
 
hhaaaaaa karibu sana nini maana ya jina lako hilo
Habari zenu mliomo.
Nimekua mshabiki mkubwa wa jamvi hili lakini mara zote
nikiwa mtazamaji tu na kila nilipotaka kuchangia nazuiwa
kumbe nilikua mpitaji sasa naingia rasmi nipate kuchangia
na kutoa niliyonayo.
Wanaume kwa wanawake,majukwaa yote ntajituma maana yananivutia.
Jina langu linamaanisha Kizuri Uzima (mengine majaaliwa)
Nawakilisha.
 
karibu sana,,,,haya msubiri katavi akuletee sheria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom