Sex derire. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sex derire.

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Yahemovich, Feb 28, 2011.

 1. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya mpita njia kumuokoa mdada mrembo aliyekuwa katekwa walilala pamoja katika lodge moja maarufu huko Kahama.
  Usiku huohuo mpita njia alimtamani mrembo kingono nakumueleza walibembelezana kwamuda wakategeka na kujivinjari.
  Palipokucha mpita njia huyooo kazini kwake Arusha.
  Wiki moja baadae anapokea simu ya yule mrembo akidai anaujauzrto wake. Basi anafurahi na kujitoa kumuhudumia kwakumtumia malaki ya pesa kila wiki akiamini atazaliwa mtoto.
  Mwezi mmoja mdada akaabort eeh! Mpita njia kaendelea kuhudumia bila kujua mwaka ulipoisha katia timu kumlaki mwanae mizunguko ikaanzia hapo "ooh mtoto yuko kwabibi" mara "housegeli kasepa nae" ukweli ukabainika baada yamarafiki wa mdada kutoboa siri.
  Mpita njia kaamua kumfungulia kesi ya mauaji afungwe maisha. Je uamuzi huu kisheria ni sawa? Na sheria ya nchi yetu inasemaje?
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Uamuzi wake utakuwa ni kupoteza muda kwa sababu hana evidence ya mauaji. Anachoweza kuambulia ili kujipoza na maumivu ni kumfungulia kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Hata hivyo ili aweze kushinda ni lazima athibitishe bila ya kuacha shaka kuwa ni kweli alipewa taarifa za ujauzito na ana ushahidi kuhusu hilo. Pia athibitishe kuwa alikuwa akimtumia hela ambazo zilipokewa na aliyemkusudia
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Imewekwa sehemu siyo!
   
Loading...