Habari zenu wapendwa

Mary Chuwa

Senior Member
Feb 24, 2011
177
40
Mimi ni mgeni katika forum hii,naomba kupokelewa natumaini nitaendelea kujifunza kutoka mada mbalimbali zinazopatikana katika forum hii toka kwa wajumbe.
Aksanteni
 
Karibu sana jamvini Mary... jisikie huru kuchangia chochote lakini kwa kufuata sheria za jamvi hili....
 
Karibu mama![/QUOTE]

Mkuu swali la udaku tu, Umejuaje kama ni mama au jina limekuchanganya?

Maana kuna kina Maria de Santoz na kina Mamadou je utajua km ni mwanamke au mwanaume?

samahani lakini katika kuchambua majina tu.

hata hivyo namkaribisha mgeni na tutamjua jinsia kadri siku zinavyoendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom