Wana-JF ninayo furaha ya kujiunga nanyi katika viwanja vya JF. Mimi ni MPIGA ZEZE yule wa Mwalimu na mwanafalsafa E. Kezilahabi. Niwamegee kidogo anavyojitambulisha:
"Nitaimba wimbo gani tofauti...
Wapendwa wana Jf, mi ni mgeni, sharo hiphop ndo ma name, nikiwa na mana ya kuwa na x-tics zote za usharobaro na kihiphop, nina mapenzi mema na wenye mpnz mema na mimi, thnx alot, b blcd.
jamani leo mwenzenu nilikuwa nasheherekea besidei ya kuazimisha miaka miwili ya kuwa mwanachama wa jamii forums tangu mei 14 2009, napenda kukiri kuwa nimeelimika sana katika kipindi hiki na...
wenyewe mpoo,
Helo pipoo... first of all congs sana kwa michango yenu humu jamvini inayosaidia jamiii..
nami nimeamua kujiunga leo...
naamini mtanikaribisha kwa bashasha, nderemo na...
naitwa reuben makene najitamulisha kwenu wana jamii forum kuwa nami ni miongoni mwa wanachama wapya wa jamii forum. naomba ushirikiano wenu asanteni sana
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.