Kumbe jamii forums ya ukweli hivi! Nahisi ntainjoi sana jf mkinikaribisha

MWAFONGO

New Member
May 10, 2011
4
0
Nawasalimu kwa jina la bwana na mungu anisaidie kuongea ukweli katika kuchangia mada ndani ya jf
 
KARIBU SANA...NAFURAHI KUWA WA KWANZA KUKUKARIBISHA...MUNGU AKUSAIDIE KTK MWANZO WAKO,UWE NA UVUMILIVU NA HEKIMA KTK KUCOMMENT NA KUPOST A NEW TOPIC..BE BLESSED ALWAYS...U ARE WELCOME...I WILL BE HAPPY TO HEAR FROM YOU....:clap2:
 
Karibu sana utaenjoi ukiwa nasi! Zingatia kanuni na sheria zetu!!
 
nimekusoma mkongwe, ntajitahid kuchngia hoja kwa ufanisi wa hali ya juu ili niwe senier fasta
 
We jiingilie tu mwayego! Hili ni jukwaa la wote.Halibagui wala halichagui.Humu kuna watu wa kila aina.Kuna wastaarabu na manyang'au humu hivyo ujiandae kwa lolote.
 
kuwa makini kwenye kutafuta mwenzako humu usije ichukia JF
Karibu sana mtumishi wa bwana
Shalom
 
Karibu sana....but please don't turn out to be another Malaria Sugu....jokingly that is :dance:
 


angalia tusikumiss kama jamaa hapo juu kuna wanaoingia wakisoma comments za watu wanahisi kukataliwa na jf la hasha kumbe ndio democracy wanachapa lapa na atuwaoni tena else wamekuja kivingine...3names not allowed mtumshi wa bwana natumaini kwa maombi yako ya agape jf itaheshimika serikalini na kwengine kote tukianza na walalhoi wenzetu
 
karibu sanaaa, utanufaika bila shaka na kunufaisha pia na watu kustafidi kwa michango yako maridhawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom