hodi wakuu

hodi wakuu

Twasila

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2011
Posts
1,913
Reaction score
599
wakuu hamjambo?. Nafurahi kujiunga nanyi. Natarajia kuwa mshiriki makini. Asanteni.
 
Karibu sana jamvini,Twasila kikwetu ni tunaisha,kikwenu manake nn?
 
wakuu hamjambo?. Nafurahi kujiunga nanyi. Natarajia kuwa mshiriki makini. Asanteni.
Karibu sana jamvini Twasila. Nini maana ya jina lako? Kwa lugha yetu maana yake twaisha...
 
karibu sana bwana uungane na wapambanaji mpaka tuhakikishe tunamtoa joka fisadi pangoni
 
Back
Top Bottom