jaman na mimi mgen

Karibu sana ndugu ila tahadhani humu ndani kuna Mapapa na Manyangumi :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
karib sana, ukiishiwa na hela ya cafe usisite kunijulisha. Mimi ndio waziri wa feza wa JF. ubarikiwe. huyo hapo juu anaitwa Maria mwanawe Roza, akinuna yeye basi server za JF zinagoma kufunguka.
 
Karibu sana, karibu kiti.

Jina lako limefafanana na Msekwa, una uhusiano wowote na huyu mtu?(utani tu mkuu) karibu jamvini.

Nini kimekuvutia jamvini?
 
karib sana, ukiishiwa na hela ya cafe usisite kunijulisha. Mimi ndio waziri wa feza wa JF. ubarikiwe. huyo hapo juu anaitwa Maria mwanawe Roza, akinuna yeye basi server za JF zinagoma kufunguka.

Hahahha Klorokwini wewe mbona huji maeneo nakauka mwenzio :dance::dance::dance:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom