utawala wa nchi yetu ni sawa na kifo cha laurent kabila former president of DRC?
kwani, mlinzi mkuu wa kabila ndio alie muua! nasi kinga yetu kuu (kiongozi) ndio inatumaliza amini, usiamini.
Desturi inatufundisha ukimkuta mtu shambani kwako kang'oa muhogo na anautafuna sio mwizi bali ana njaa.
ukimkuta kang'oa muhogo kaufunga vizuri na kajitwisha ni mwizi anastahili mawe.
Nina...
Kwa kweli hata nashindwa jinsi ya kuanza inavyotia simanzi!!
Kwa wale waliosoma Chuo cha Mzumbe miaka ya 2004, 2005, 2006, na miaka mingine na wote wenye mapenzi mema, kuna dada anaitwa MANSUETA...
Hodi hodi JF,
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzito mnayoifanya ya kulijenga taifa letu bila kujali tofauti za kiitikadi na nyinginezo. Pili, naomba kuungana nanyi bega kwa bega ili hatimae tuweze...
Its my grt hope that am in a house of people who try to think and say right,people who know what to say,how to say it,for whom and at what time or situation.am in ...........
am new to this,thus...
nafurah kupata lungu la kuwanyoosha wote niliokuwa nikiwafuatilia wakat nipo nje_kuna watu ambao hawana manufaa kwa familia zao wala dunia_wangetaman dunian wao pekee _muda wote nÃ* hbr za...
jamani hodi wanajamvi na mimi nimejiunga niweze kufaidi ya humu nimechoka kusoma tu maoni ya watu baada ya kutafakari na mimi nisiwe nyuma tuchangie mawazo tuendeleze mbele gurudumu la maendeleo...
Hodi! hodi! hodi mpaka ndani, Wenyeji mpoooooooo!
Hi my learned friends, I'm very glad to join the forum, what i request from you is constructive ideas toward our country development and...
Ninafarijika sana kila mara ninapoutembelea ukurasa huu na kusoma yale yanayochangwa kutoka kwa wanafalsafa wanaofikiria kwa kina na wanao ona mbali.
nimeungana nanyi kutoa hoja na kuchangia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.