naomba kukaribishwa rasmi ndani ya JF

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
wakuu nimejiunga siku nyingi lakini wasaa wa kubisha hodi umefika

naomba mnipokeee
 
Wewe utakuwa jasiri kweli aisee, yaani leo kiama badala ya kwenda kanisani/mskitini ndio kwanza unajiunga JF? khaaa!
karib bana.

hao hapo juu wote ni wachumba wangu, kama wewe ni dume hauruhusiwi kucheka cheka nao sana
 
Karibu,mimi sina muda mrefu lakini nilisikia kuna wenzetu waliosafiri kidogo, karibu tene jf...(unanikumbusha nilipokwenda kusoma a-level mama yangu alikuwa mjamzito niliporudi baada ya kumaliza mdogo wangu aliye zaliwa aliniuliza mimi na kaka yangu nani mkubwa,nikamwambia yeye anaonaje akasema mimi lakini mama anasema yule)
karibu ujisikie home
 
Karibu sana mkuu ,aaaaah sorry et nilitaka kukuuliza kama we ni wale vijana wa msekwa hahahahaaaaaaa...lol.
 
Wewe utakuwa jasiri kweli aisee, yaani leo kiama badala ya kwenda kanisani/mskitini ndio kwanza unajiunga JF? khaaa!
karib bana.

hao hapo juu wote ni wachumba wangu, kama wewe ni dume hauruhusiwi kucheka cheka nao sana

Haaaa! wachumba wako vipi?mbona wako wanaume na wanawake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom