Nimeona ni mhimu kuungana nanyi ili tuweze kulisukuma gurumu la JF ambalo linaonyesha mafanikio makubwa sana ktk jamii yetu ya Tanzania ktk kuishauri na kuipongeza serikali pale inapofanya vizuri...
naomba kuungana nanyi kwenye huu mchakato wa kuelimishana, nimependezwa na michango mbalimbali ya wana JF nami nimevutiwa kushiriki mijadala mbalimbali inayoibuliwa na GT
asante!
Hello wana JF
Nimechoka kukaa Bohari Kuu Ya Madawa pale keko, naomba mnikaribishe kama mlivyowakaribisha Tablets wenzangu ili na mimi niwe mwana JF, naahidi tutashirikiana bega kwa bega katika...
Finaly i made it happened!!ni new member officialy though i have been using JF as a guest for a year now..i hopefully expect a warm welcome from 'wakongwe'...those with similar ideology as mine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.